Saturday, August 20, 2011

the script break even

This song is dedicated to people out there who feels lonely by themselves. kutokana  na  kutosana na their love ones and realize how miserable life is without  them.
  
its a beautiful song but don't you ever watch it kama umetoswa au kama ua lonely..


MSANII JOSE CHAMELEON ABADILI DINI NA KUWA MUISLAM



msanii kutoka Uganda Joseph Mayanja aka Jose Chameleone ameamua kubadili dini na kuwa muislam katika msikiti wa kibuli, ijumaa  ya August 12,2011.
Chameleone alifuatana na member toka Eagles Production, Haruna Mubiru na Grace Sekamate,na baada ya kuingia kwenye dini ya Kiislam ametaka atambuliwe kama Gadhaffi Chameleone na si Jose Chameleone kama alivyojulikana awali na baadaye alisali sala ya Ijumaa na waumini wengine

Uamuzi huo wa Chameleon ambaye alikua ni muumini wa dini ya Kikristo,dhehebu la Roman Catholic ambaye alimuoa Atim Daniella pande za Mbuya Catholic Church miaka michache iliyopita...Umewashangaza fans wake wengi huku wakifunguka ni kama mchezo wa kuigiza flani hivi na anatarajiwa kuzindua album yake September 2,2011.






No comments:

Post a Comment