Saturday, August 20, 2011

WE HAVE TO THINK ABOUT OTHERS EVEN ONES IN A WHILE.....

Instead ya kuspend chapaa katika mambo yasiyo ya msingi tena ikiwemo hata kumkosea sir GOD why wuld'nt we direct our least exes amount of money we get to those who are leaving in mazingira magumu.

                                                                       Hashim
Aliye katika photo hapo juu ni mtoto Hashim Hassan ambaye ambaye anasumbuliwa na tatizo la ulemavu wa miguu uliotokana na na uvimbe katika miguu yake yote tatizo ambalo limedumu kwa mda wa miaka tisa sasa hii ikiwa ni tangu alipo zaliwa.

                                                             Hashim at his place
kama tunavyoelewa kusoma(,nikimaanisha kujua kusoma na kuandika vile vile kuudhuria masomo) ni moja kati ya haki ya msingi mbayo kila mtoto anatakiwa aipate hili linamuwia vigumu mtoto hashim kutokana na haliduni ya maisha aliyonayo kubwa likiwa ni tatizo la ulemavu linalomkabili.
   Hali hii  inamfanya kijana huyu kumtegemea mama yake katika maswala yote yanayoa husu kujongea.Mama Awetu mama mzazi wa hashim anasema kwamba "jambo hili niliweza kuliona rahisi wakati hashim alivyokua mdogo, lakini sasa ainaniwia vigumu kwani anakua kadri siku zinavyozidi kwenda na inavyoonekana hivi punde nitashindw kabisa kufanya hivyo'' akisema mama huyu kwa masikitiko makubwa. Kutokana kutumia kutambaa kam njia pekee ya kutembea Hashim amekua akisumbuliwa na tatizo la kuongezeka kwa uvimbe katika miguu yake hii inachangiwa na michubuko anayoipata akiwa anatambaa.

                                                              Hashim and his Mom
Hivyo ningependa kukaribisha misaada yenu mkiwa kama vijana angalau apate hata baiskeli ya kuendea shule, kwani tunaelewa kama sisi ndo tomorrow's nation na kwa pamoja tunaweza tukaleta change katika maisha yetu sisi kama vijana.
           
                kwa msaada contact me via killah.sham1@gmail.com
                                                           kclax41@yahoo.co.uk









No comments:

Post a Comment